Dawa ya mafua sugu

Dawa ya mafua sugu

Ahasante bana ,kuna aunt yake alimshika kumbe ana mafua machanga!
duh aisee pole binafsi sifahamu za hospital ila yakimbana sana twanga kitunguu swaumu umpake miguuni kwenye nyayo
 
I wudnt advise centrizene he is too young..naomba fanya hivi chemsha maji weka kwenye beseni then jifunike na kanga na mwanao mvute ule mvuke akitoka hapo kapona kabisaa
 
Ahsante Lisa ...sikuwa hewani! kabla hata sijajaribu dawa yako nahisi dogo kapona!
I wudnt advise centrizene he is too young..naomba fanya hivi chemsha maji weka kwenye beseni then jifunike na kanga na mwanao mvute ule mvuke akitoka hapo kapona kabisaa
 
Nilisumbuka Kununua Kila Aina Ya Dawa Kwa Ajili Ya Mtoto Wangu Lakin Kila Dawa Niliyojalibu Haikusaidia Aliendelewa Kusumbuliwa Na Mafua Yasiyoisha.

Mwishoni Nikaelekezwa Dawa Inaitwa Chapa Simba Ni Nzuri, Mwanangu Amepona Kabisa Mafua Nawe Unaweza Kuijaribu Pia.
 
Ya maji au kupaka? Piga picha chupa yake uweke hapa utatusaidia sana mkuu
 
Hiyo dawa inapatikana wapi? Ni dawa ya kienyeji au dawa maalumu ya binadamu
 
DOCTOR,ugonjwa wa mafua husababishwa na nini? Nilitumia glass ya mtu aliyekuwa anaugua ugonjwa huu na mimi nikapata mafua.Nilianza na kupiga chafya,ikafuatia kuumwa kichwa,kukosa hamu ya kula na makamasi kutiririka kama maji, pia kuwashwa koo na kuwa na hasira kali.Dawa ni nini dokta?
 
Mimi c dokta, kama utaridhia acha nikuelekeze dawa hii ambayo imewasaidia watu wengi kupona tatizo hilo. Chukua tangawizi kiasi uisafishe vizuuri kisha isage ktk Brenda ukiitengeneza mithili ya juisi kwa kuchanganya na asali kiasi.kunywa glasi moja ndogo kutwa Mara 2 (asubuhi na jioni) Nina uhakika mpaka siku yapili jioni utakuwa na nafuu kubwa sana kwa uwezo wa Muumba.Tumia hii kwa muda wa siku tatu. Asali inayokusudiwa hapa ni mbichi.(original)
 
Acha hayo maelezo yote uliyoelekezwa kama bado haujafanya kitu chochote! Tafuta limao kamulia tone tatu mpaka tano kwenye pua after km lisaa utakuwa mzima kabisa! Ila ninzuri ukitumia muda wa kulala maana yanakuwa makali zaidi usiku. Inauma ila sito sana but it kusaidia sana.

Duh hii kiboko nimepiga chafya mpaka alieniwekea limao akaogopa nitarudisha marejesho kama yatapungua mafua
 
Nenda Maduka Ya Dawa Asili Ulizia Chapa Simba Ni Ya Kupaka Ipo Kwenye Kichupa Kidogo From China
 
Mwanangu ameshasumbuliwa na mafua sana tokea azaliwe leo ni mwezi na wiki 1 ameshatumia haya madawa yote bila mafanikio ngoja nijaribu chapa simba kuitafuta alafu nitalejesha majibu maana hadi na comment uck huu cjalala mtoto anasumbua tu dawa nilizo tumia awali ni hizi
 

Attachments

  • 1451350245604.jpg
    1451350245604.jpg
    44.1 KB · Views: 510
  • 1451350274714.jpg
    1451350274714.jpg
    40.3 KB · Views: 385
Habari zenu JF, naomba msaada wa dawa kiboko ya mafua iwe ya traditional au ya kisasa:
 
Niliskia kuwa majani ya mlimau ni kiboko... na kitunguu swaumu pia kinasaidia
 
Back
Top Bottom