Dawa ya mafua ya kuku

kwakua n kienyeji jitahidi uwe unawapa dawa za kienyeji mara kwa mara (kwa kuwachanganyia kwenye maji au chakula) kwani huwa inasaidia sana kwa magonjwa nyemelezi na inasaidia kuepusha vifo vya mapema wapatavyo magonjwa
Dawa Kama zipi? Unaweza kuwapa hata Kama hawajaanza dalili?
 
Wakuu Asanteni Sana,mafua ya kuku yanmeisha,nasubiri siku 15 ziishe nianze kila mayai na nyama,
Ushauri wenu umenisaidia sana
 
Dawa ni tatumoja naikubali sana na huwa natumia majani ya mpapai hapo nmemaliza magonja sio sana nasumbuliwa na paka tu lakin kufa kwa magonja nmepunguza kwa kutumia hzo dawa
 
Amoxicllin unawapaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…