Dawa ya Malaria aina ya Mseto inakera

Dawa ya Malaria aina ya Mseto inakera

Hivi wataalam wa pharmacy hamuwezi jamani kutufanyia kitu kwenye hii dawa? nakunywa tu nisife, harufu mbaya, ladha mbaya. Kila nikiwa nataka kunywa nahisi kutapika.

Hebu wataalamu njooni hapa kama kuna namna ya kufanya kwenye hii dawa mtusaidie!
umasikini wako tu
 
Huo mseto unaenda na juice nzito ya nanasi miksa ukwaju au ya embe... Kiufupi dozi yoyote ya vidonge lazima iambatane na juice
 
Hivi wataalam wa pharmacy hamuwezi jamani kutufanyia kitu kwenye hii dawa? nakunywa tu nisife, harufu mbaya, ladha mbaya. Kila nikiwa nataka kunywa nahisi kutapika.

Hebu wataalamu njooni hapa kama kuna namna ya kufanya kwenye hii dawa mtusaidie!
Nilikunywa robo doz 2009 yakanishinda,mkulungwa mmoja akanielekeza mlonge mpaka leo sijawah ugua malaria.
 
Back
Top Bottom