Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
umasikini wako tuHivi wataalam wa pharmacy hamuwezi jamani kutufanyia kitu kwenye hii dawa? nakunywa tu nisife, harufu mbaya, ladha mbaya. Kila nikiwa nataka kunywa nahisi kutapika.
Hebu wataalamu njooni hapa kama kuna namna ya kufanya kwenye hii dawa mtusaidie!
Kabisa mkuu 😅Ukitaka kunywa mwili unasisimka kwanza..!
Nilikunywa robo doz 2009 yakanishinda,mkulungwa mmoja akanielekeza mlonge mpaka leo sijawah ugua malaria.Hivi wataalam wa pharmacy hamuwezi jamani kutufanyia kitu kwenye hii dawa? nakunywa tu nisife, harufu mbaya, ladha mbaya. Kila nikiwa nataka kunywa nahisi kutapika.
Hebu wataalamu njooni hapa kama kuna namna ya kufanya kwenye hii dawa mtusaidie!