frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,339
Habari wakuu?
naomba kuuliza dawa ya mwanamke mjamzito wa mwezi mmoja na nusu, je ni dawa gani ya malaria utumia, kwani nimeambiwa mpaka mimba ya miezi 4 nakuendelea unywa dawa hizi za kawaida
Na chini ya miezi 4 ukinywa hizi, eti mimba inatoka..... ?
MSAADA TAFADHARI!!!!
DAWA YA MALARIA MIMBA YA MWEZI 1 1/2.
asanteni.