Dawa ya mapele yanayotokea baada ya kula kitu (allergy)

Dawa ya mapele yanayotokea baada ya kula kitu (allergy)

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,743
Reaction score
1,738
Katika kukua kwangu nimezijua dawa za aina mbali mbali kila siku ntakua naelezea dawa nzozijua nkipata muda leo tuanze na sawa ya allergy mara nyingi mzio au allergy unawapata watoto wadogo kwa baadhi ya vyakula kama samaki nyama na mara nyingine hata maziwa ya wanyama

UWENGE/Uwenga
hii ni aina ya majani yanayopatikana sana sehemu za baridi yanatambaa na mara ny yanapenda sana seh za kando kando ya mto yana sifa moja hayana harufu kali hadi yachemshwe

Matumizi

ichemshe hadi ibadilike rangi chemsha nyingi ibaki litre 5 tenga litre mojakwa ajili ya kunywa iliyobaki mpake baada ya kumwogesha au mwogeshe seh zenye vipele bila kutumia sabuni za dawa (medicated soap) mnyweshe mtoto robo glasi asubuhi mchana na jioni kwa muda wa siku 3 mtu mzima tenga litre moja na nusu kunywa nusu tu ya glasi baada ya siku 3 hilo tatizo halitajirudia tena kwenye maisha yake /yako yote
kama hii dawa ni ngumu kuipata ulipo ni pm au ulizia kwa mtu yyete wa Lushoto au Bumbuli akutumie
IMG_20181226_184625.jpeg
IMG_20181226_184607.jpeg
 
Aisee kuna dogo anasumbuliwa kweli na tatizo hilo, sema hili jani hata sijalielewa[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Haya majani yaliwahi nisaidia nilipokua age ya 7 huko Iringa nakumbuka nilikua nasumbuliwa na upele wa mchango Mara kwa Mara,bibi mama kwenye nyumba akatuma vijana wake tukafuatana sio mbali na home kando ya bonde la MTO pale makorongoni nikaogeshewa Kwisha habari yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ibanezafrica kuna mdau hapa chini anauliza yanaitwaje kwa Iringa

Kwa Iringa wanayaitaje haya majani nataka niagize hili tatzo linansumbua sana kiukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ibanezafrica kuna mdau hapa chini anauliza yanaitwaje kwa Iringa
Sikumbuki ila wazee wa kihehe watakua wanajua tatizo nilikua bado Mdogo darasa la 2 hivi,ila hata hospt wanakuaga na sindano ila majani Yale yalinisaidia sana ilikua inaanza kuwashwa upele kidogo Mara unaongezeka mwisho mwili wrote una tutusika hasa usoni,masikio,mdomo mikononi,tumboni da ilikuaga shida kweli
Pole sana ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni victim no. moja naomba tafadhari kama unafahamu jina lake la kibiologia ili nitafute sababu nipo mbali na nyumbani ila ni muhanga wa allergy ya maua, samaki, na kuna fungus wamo bustanini mwangu. Mwili wote umeota upele.
 
uko wap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom