Jenseny
JF-Expert Member
- Jan 26, 2011
- 1,743
- 1,738
Katika kukua kwangu nimezijua dawa za aina mbali mbali kila siku ntakua naelezea dawa nzozijua nkipata muda leo tuanze na sawa ya allergy mara nyingi mzio au allergy unawapata watoto wadogo kwa baadhi ya vyakula kama samaki nyama na mara nyingine hata maziwa ya wanyama
UWENGE/Uwenga
hii ni aina ya majani yanayopatikana sana sehemu za baridi yanatambaa na mara ny yanapenda sana seh za kando kando ya mto yana sifa moja hayana harufu kali hadi yachemshwe
Matumizi
ichemshe hadi ibadilike rangi chemsha nyingi ibaki litre 5 tenga litre mojakwa ajili ya kunywa iliyobaki mpake baada ya kumwogesha au mwogeshe seh zenye vipele bila kutumia sabuni za dawa (medicated soap) mnyweshe mtoto robo glasi asubuhi mchana na jioni kwa muda wa siku 3 mtu mzima tenga litre moja na nusu kunywa nusu tu ya glasi baada ya siku 3 hilo tatizo halitajirudia tena kwenye maisha yake /yako yote
kama hii dawa ni ngumu kuipata ulipo ni pm au ulizia kwa mtu yyete wa Lushoto au Bumbuli akutumie