Dawa ya maralia sugu

Dawa ya maralia sugu

cageclay

Senior Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
121
Reaction score
35
Malimao
 

Attachments

  • 1395841398666.jpg
    1395841398666.jpg
    40.7 KB · Views: 107
Dawa yako mbona imekaa kimiujiza zaidi? Naomba ufafanue kidogo.
 
Ungetoa ufafanuzi kidogo.

Chukua malimao makubwa 20 ,yakatekate yachemshe kama nususaa hivi ukitumia lita 4 za maji ipua acha ipoe kiasi kisha loweka miguu yako saa nzima ukimaliza usisuuze miguu lala hivyohivyo mpaka asubuhi ndio unawe
 
Back
Top Bottom