Kichwa cha habari kinajieleza aomba msaada mnielekeze dawa ya magoti kuna wakati yanakua yanauma japo kwa mbali rakini nachukulia ni tatizo kwasababu zamani sikua na shida hiyo, sitaki kuhangaika na vipimo wakati najua chanzo cha tatizo, pia na pesa ya kipimo chenyewe sina
Nilikamatwa na maafsa polisi nilichezea rungu za kwenye magoti kwa wanaojua ile kotapini ya baiskel inavyotolewa basi ndo ilivyokua kwenye magoti yangu mpaka nilihisi kile kigololi cha kwenye goti kimesambaa kama uji, baada ya hapo nilipona kwasasa ni miez miwili imepita maumivu nayaskia kwa mbali
najihisi uzeeni litakua tatizo litanisumbua hivyo naomba mnielekeze dawa nitumie ili niendelee kua vzr kama zamani
shukuran
exalioth
jf_geita
Tuwe tuna uliza maswali haya :-
Je, ulimpiga polisi?
Jibu : Hapana
Je, uliiba mali ya kituo cha polisi.
Jibu : Hapana
Je, uliiba kambini kwenye nyumba za polisi.
Jibu :Hapa
Uligoma kukamatwa ?
Jibu :Hapana
Je, Ulimtukana mkuu wa kituo?
Jibu :Hapana
Je, ulifanya uko kituoni?
Jibu: Hapana
Je,ulijaribu kupora polisi bunduki ?
Jibu :Hapana.
Je,ulikua umebeba silaha au dhana inayoweza kumjeruhi polisi au kuhatarisha maisha yake?
Jibu:Hapana.
Sasa ulifanyaje?
Jibu : Ninatuhumiwa kununua simu ya wizi ya Msakatonge.😱😱😱😱😱😱
Sasa polisi ina muuma nini kwa kwa kiwango hicho kuliko hata Mwenye simu, mpaka kuwa na hasira na jazba kiasi hicho?
Au kuna rushwa imetolewa na Mwenye simu kuwa mpige mpaka aseme atalipa simu nyingine.
Vinginevyo kwa nini mtu apigwe na polisi wakati mwenye mali hakurusha hata matusi kwa mtuhumiwa.
Huku ni kujichukulia sheria mikononi .
Kazi ya polisi ni kuchunguza na kupeleka huko mahakamani.
Ndio maana hata Dr. Samia aliwahi kulilalamikia jeshi la polisi kwa kutosimamia haki za watu sawa sawa .Japo baadae walifurahishwa pale walipoweza kuwadhibiti wale mahulkutabu .