Dawa ya maumivu ya Magoti baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa maafisa wa polisi

Dawa ya maumivu ya Magoti baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa maafisa wa polisi

Nguvu kazi inaharibiwa ama kwa kupotezwa ama kutiwa ulemavu kwa makusudi kabisa, sad
 
Wewe una uhakika kila anayepigwa na polisi ni mgaidi na muhalifu!?
Ni kesi ngapi zilikuja kufufuliwa na kugundulika waliohukumiwa hawana makosa!?
Ni washukiwa wangapi wamekamatwa kimakosa na baadae kuachiwa huru kuwa hawana hatia!??
Aisee mkuu akili zinakutoka vibaya ukiendekeza uchawa wa CCM.
Yes,
ni mkaidi, jeuri na mkiuka sheria pekea ndio ambao polisi hutumia virungu kudhoofisha na kumdhibiti na hatimae kumuwajibisha kwa mujibu wa sheria na si vinginevyo 🐒
 
YesKichwKichwani umedata mkuu.Wapo wengi wamedhulumiwa tena kwa kusingiziwa na hao polisi.Sema wacha nikupuuze maana hakuna kitu utamuambia chawa na akakuelewa.
ni mkaidi, jeuri na mkiuka sheria pekea ndio ambao polisi hutumia virungu kudhoofisha na kumdhibiti na hatimae kumuwajibisha kwa mujibu wa sheria na si vinginevyo 🐒
Ko
 
kujiepusha na ukaidi katika kutii sheria bila shuruti ndiyo tiba pekee na muafaka zaidi ya nyingine zozote.

vinginevyo kua raia mwema na kujitenga na magenge ya kihalifu na jeuri hasa ya kisiasa, nayo ni njia muhimu mno ya pili ya kuepukana na virungu vya polisi ambayo ni dawa ya kuwadhoofisha makaidi.

ni kweli kabisaa kwamba virungu vya leo, ni hatari zaidi uzeeni. ni vizur kuchukua tahadhari 🐒
Mkuu, inavyoonekana wewe ni njangu, na ni tabia yako kutandika watu virungu. Muwege na huruma, mtajibu nini kwa Mungu Baba?
 
Niliwahi enda polisi kupata pf3 jamaa wakanipa bila vielelezo vyovyote kama mihuri, tarehe, sahihi kudai itimie kichapo kikaanza mwenyewe kamwili kadogo ila nilikesha na mparangano mpaka kikaeleweka
 
Mkuu, inavyoonekana wewe ni njangu, na ni tabia yako kutandika watu virungu. Muwege na huruma, mtajibu nini kwa Mungu Baba?
Gentleman,
mimi sio njagu wala kachero but dhumuni la virungu kutumika ni katika kuwadhoofisha makaidi majeuri ili kuyadhibiti vizuri na kutuliza vurugu na usumbufu wao.

Infact,
kwa maneno na matendo yako hapa duniani, kila binafamu atatulizwa siku ya mwisho kwenye kiti cha hukumu bila mbambamba yoyote 🐒
 
Nenda na uchawa wako ila fika nadhani hata wewe unajishangaa unachoongea.
Sure,
nashangaa sana gentleman unajivunia ujeuri, kiburi na ukaidi wa kutii sheria bila shuruti.

unapendelea ushurutishwe kutii sheria kwa virungu dah, ujeuri mwingine bana 🤣
 
Kati ya mtu ambaye afe sitahuzunika wa kwanza ni Polisi, wa Pili wanaccm, wa tatu askari yeyote yule maana wote ni waonevu
 
O
raia mwema asiejihusisha na magenge ya kihalifu na ukaidi katika kutii sheria bila shuruti yanakukutaje hayo kwa mfano gentleman?

acheni kiburi ndrugo zango
Ndo maana
kujiepusha na ukaidi katika kutii sheria bila shuruti ndiyo tiba pekee na muafaka zaidi ya nyingine zozote.

vinginevyo kua raia mwema na kujitenga na magenge ya kihalifu na jeuri hasa ya kisiasa, nayo ni njia muhimu mno ya pili ya kuepukana na virungu vya polisi ambayo ni dawa ya kuwadhoofisha makaidi.

ni kweli kabisaa kwamba virungu vya leo, ni hatari zaidi uzeeni. ni vizur kuchukua tahadhari 🐒
mnakufaga vbaya uzeeni hata kibandaa Cha kujistir hamna na vijumba vyenu vya mabati kuanzia juu mpaka chini kama tanuru,na mkstaafu wenzenu hawataki kuwaona mnakuja Kwa raia mliokua mnawapiga makofi wawape Dili za kitaa na wenyew wanawakataa baadae mnahis dunia kuwatenga mnakufa wenyew au kujinyonga,mnaacha watot wenu hawana mbele wala nyuma ,,,karasti na nusu ,,mnao jionaga kama vile dunia ni yenu
 
Kichwa cha habari kinajieleza aomba msaada mnielekeze dawa ya magoti kuna wakati yanakua yanauma japo kwa mbali rakini nachukulia ni tatizo kwasababu zamani sikua na shida hiyo, sitaki kuhangaika na vipimo wakati najua chanzo cha tatizo, pia na pesa ya kipimo chenyewe sina

Nilikamatwa na maafsa polisi nilichezea rungu za kwenye magoti kwa wanaojua ile kotapini ya baiskel inavyotolewa basi ndo ilivyokua kwenye magoti yangu mpaka nilihisi kile kigololi cha kwenye goti kimesambaa kama uji, baada ya hapo nilipona kwasasa ni miez miwili imepita maumivu nayaskia kwa mbali

najihisi uzeeni litakua tatizo litanisumbua hivyo naomba mnielekeze dawa nitumie ili niendelee kua vzr kama zamani

shukuran

exalioth
jf_geita
Pole sana. Kafanyiwe uchunguzi hospitalini.

Hii lugha ya "maafisa wa polisi" imetafsiriwa kutoka "police officers" kama inavyotumika huko majuu, ambapo humaanisha "polisi" tu huku kwetu.
Hawa wa kwetu kwa lugha rasmi ni polisi na sio maafisa wa polisi.
 
O

Ndo maana

mnakufaga vbaya uzeeni hata kibandaa Cha kujistir hamna na vijumba vyenu vya mabati kuanzia juu mpaka chini kama tanuru,na mkstaafu wenzenu hawataki kuwaona mnakuja Kwa raia mliokua mnawapiga makofi wawape Dili za kitaa na wenyew wanawakataa baadae mnahis dunia kuwatenga mnakufa wenyew au kujinyonga,mnaacha watot wenu hawana mbele wala nyuma ,,,karasti na nusu ,,mnao jionaga kama vile dunia ni yenu
Imeandikwa...

Wafilipi 1:21
"Kwa maana kwangu mimi, kuishi ni Kristo, kufa ni faida"

zingine ni story na porojo za pata potea tu gentleman 🐒
 
Polisi wa Tanzania bhana wanakutwanga marungu ndipo wanakupa pf3 ya kwenda kutibiwa 🤣🤣🤣🤣.
 
raia mwema asiejihusisha na magenge ya kihalifu na ukaidi katika kutii sheria bila shuruti yanakukutaje hayo kwa mfano gentleman?

acheni kiburi ndrugo zango 🐒
Kwamba ule msemo 'wanaokwenda jela sio wote wanahatia' huuamini. Sijui mdau alikosea nn ila maoni yako yamevuka mno.
 
Kwamba ule msemo 'wanaokwenda jela sio wote wanahatia' huuamini. Sijui mdau alikosea nn ila maoni yako yamevuka mno.
kutoka kwenye virungu hadi jela dah 🤣

kumbe kuna hoja hadi za mwendo kasi gentleman ?🐒
 
Yes,
ni mkaidi, jeuri na mkiuka sheria pekea ndio ambao polisi hutumia virungu kudhoofisha na kumdhibiti na hatimae kumuwajibisha kwa mujibu wa sheria na si vinginevyo [emoji205]
Huna hakili mzee..

kesi hii imenikuta nipo nyumbani tena nikiwa na wageni kuna vurugu zilitokea huko sokoni watu wakafa wawili katika kutuliza vurugu polisi walikuja kuuteka mji mzima watu zaidi ya mia8

tulikamatwa hata kama ukutwe ndani umelala yaani kile kitendo tu cha kukutoa nyumbani na kukupandisha kwenye gari lao rungu utakazopigwa zaidi ya ishirini na hapo hupigwi na mmoja
 
muerevu una mihemko si mchezo? :pedroP:

pole sana gentleman dah, na sina la kusema zaidi kwakweli:pedroP:

unaendelea kwa sasa?:pedroP:
 
Back
Top Bottom