Dawa ya maumivu ya Magoti baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa maafisa wa polisi

Nguvu kazi inaharibiwa ama kwa kupotezwa ama kutiwa ulemavu kwa makusudi kabisa, sad
 
Yes,
ni mkaidi, jeuri na mkiuka sheria pekea ndio ambao polisi hutumia virungu kudhoofisha na kumdhibiti na hatimae kumuwajibisha kwa mujibu wa sheria na si vinginevyo πŸ’
 
Ko
 
Mkuu, inavyoonekana wewe ni njangu, na ni tabia yako kutandika watu virungu. Muwege na huruma, mtajibu nini kwa Mungu Baba?
 
Niliwahi enda polisi kupata pf3 jamaa wakanipa bila vielelezo vyovyote kama mihuri, tarehe, sahihi kudai itimie kichapo kikaanza mwenyewe kamwili kadogo ila nilikesha na mparangano mpaka kikaeleweka
 
Mkuu, inavyoonekana wewe ni njangu, na ni tabia yako kutandika watu virungu. Muwege na huruma, mtajibu nini kwa Mungu Baba?
Gentleman,
mimi sio njagu wala kachero but dhumuni la virungu kutumika ni katika kuwadhoofisha makaidi majeuri ili kuyadhibiti vizuri na kutuliza vurugu na usumbufu wao.

Infact,
kwa maneno na matendo yako hapa duniani, kila binafamu atatulizwa siku ya mwisho kwenye kiti cha hukumu bila mbambamba yoyote πŸ’
 
Nenda na uchawa wako ila fika nadhani hata wewe unajishangaa unachoongea.
Sure,
nashangaa sana gentleman unajivunia ujeuri, kiburi na ukaidi wa kutii sheria bila shuruti.

unapendelea ushurutishwe kutii sheria kwa virungu dah, ujeuri mwingine bana 🀣
 
Kati ya mtu ambaye afe sitahuzunika wa kwanza ni Polisi, wa Pili wanaccm, wa tatu askari yeyote yule maana wote ni waonevu
 
O
raia mwema asiejihusisha na magenge ya kihalifu na ukaidi katika kutii sheria bila shuruti yanakukutaje hayo kwa mfano gentleman?

acheni kiburi ndrugo zango
Ndo maana
mnakufaga vbaya uzeeni hata kibandaa Cha kujistir hamna na vijumba vyenu vya mabati kuanzia juu mpaka chini kama tanuru,na mkstaafu wenzenu hawataki kuwaona mnakuja Kwa raia mliokua mnawapiga makofi wawape Dili za kitaa na wenyew wanawakataa baadae mnahis dunia kuwatenga mnakufa wenyew au kujinyonga,mnaacha watot wenu hawana mbele wala nyuma ,,,karasti na nusu ,,mnao jionaga kama vile dunia ni yenu
 
Pole sana. Kafanyiwe uchunguzi hospitalini.

Hii lugha ya "maafisa wa polisi" imetafsiriwa kutoka "police officers" kama inavyotumika huko majuu, ambapo humaanisha "polisi" tu huku kwetu.
Hawa wa kwetu kwa lugha rasmi ni polisi na sio maafisa wa polisi.
 
Imeandikwa...

Wafilipi 1:21
"Kwa maana kwangu mimi, kuishi ni Kristo, kufa ni faida"

zingine ni story na porojo za pata potea tu gentleman πŸ’
 
Polisi wa Tanzania bhana wanakutwanga marungu ndipo wanakupa pf3 ya kwenda kutibiwa 🀣🀣🀣🀣.
 
raia mwema asiejihusisha na magenge ya kihalifu na ukaidi katika kutii sheria bila shuruti yanakukutaje hayo kwa mfano gentleman?

acheni kiburi ndrugo zango πŸ’
Kwamba ule msemo 'wanaokwenda jela sio wote wanahatia' huuamini. Sijui mdau alikosea nn ila maoni yako yamevuka mno.
 
Kwamba ule msemo 'wanaokwenda jela sio wote wanahatia' huuamini. Sijui mdau alikosea nn ila maoni yako yamevuka mno.
kutoka kwenye virungu hadi jela dah 🀣

kumbe kuna hoja hadi za mwendo kasi gentleman ?πŸ’
 
Yes,
ni mkaidi, jeuri na mkiuka sheria pekea ndio ambao polisi hutumia virungu kudhoofisha na kumdhibiti na hatimae kumuwajibisha kwa mujibu wa sheria na si vinginevyo [emoji205]
Huna hakili mzee..

kesi hii imenikuta nipo nyumbani tena nikiwa na wageni kuna vurugu zilitokea huko sokoni watu wakafa wawili katika kutuliza vurugu polisi walikuja kuuteka mji mzima watu zaidi ya mia8

tulikamatwa hata kama ukutwe ndani umelala yaani kile kitendo tu cha kukutoa nyumbani na kukupandisha kwenye gari lao rungu utakazopigwa zaidi ya ishirini na hapo hupigwi na mmoja
 
muerevu una mihemko si mchezo?

pole sana gentleman dah, na sina la kusema zaidi kwakweli

unaendelea kwa sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…