Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 976
Wana JF,
Nakumbuka tuliambiwa kuna wa2 walijitolea kwenda Lolly kwa udhamini wa wizara ya afya ili
kupata ukweli wa uponyaji kama reseach je wameishia wapi ?.
Report wametoa na wamesema dawa ya babu inatibu ipo humu JF lakini hawa vizuka wanaofaidika na dawa za USA wanapiga kelele karibuni sasa utajiri wao utayeyuka.