Wana JF,
Nakumbuka tuliambiwa kuna wa2 walijitolea kwenda Lolly kwa udhamini wa wizara ya afya ili
kupata ukweli wa uponyaji kama reseach je wameishia wapi ?.
Babu tapeli muuwaji.Janga la taifa ni kuwa na kiongozi kama JK ambaye anaomgozwa na mafisadi kuiba pesa za walipa kodi na sio Babu wa Samunge. Wa kupimwa akili ni wewe unakubali vipi kuongizwa na mafisadi?
Sasa babu aamriwe kusimamishwa na nani mafisadi?
Akamatwe na nani? mafisadi wanaoiba kila kukicha? Au wale wanaopata faida na dawa za ukimwi kutoka USA? Walalamishi wengi ni wenye ukimwi na wanatajirika na dawa kutoka USA kwa njia za kitapeli.
Mengi kuhusu babu yanasemwa,yatasemwa.....but kila kukicha,watu wa mataifa yote na kada mbalimba wanazidi kumiminika kwa babu...
Na kwa vile Serikali imeridhia!!,,,,,,,so what do you expect???? We baki tu imani yako ya kutokwenda kwa babu,,,,,ata ivo is because huna matatizo!! But your friends,relatives and few to mention are attending to Samunge daily!
jamani babu anatibu na asiyekuwa na imani akae hivyo hivyo
Mengi kuhusu babu yanasemwa,yatasemwa.....but kila kukicha,watu wa mataifa yote na kada mbalimba wanazidi kumiminika kwa babu...
Na kwa vile Serikali imeridhia!!,,,,,,,so what do you expect???? We baki tu imani yako ya kutokwenda kwa babu,,,,,ata ivo is because huna matatizo!! But your friends,relatives and few to mention are attending to Samunge daily!
Dawa yanyewe ipatiikane tanzania kwa Mbilikimo huyu! SON OF DAVID HAVE MERCY. Mimi nilisema hata kwa AK 47 uniwekee shingoni niende kwa babu siendi ng'o wengi waliona kama sisi ni vichaa. Wote walioenda hata ukimuuliza anashika biblia au Msahafu lini atakwambia hagusi kabisa labda kuwe sikuu.
Sasa wewe kiumbe wa style hii muujiza unatuoa wapi? Huyu babu kifo chake kitakuwa kiibaya, kudanganya umma kwa kutumia jina la mwenyezi Mungu kweli atakiona cha moto though siyo leo hii au kesho.
Wanaoabudu dawa ya babu wote ni wazima hakuna mgonjwa hata mmoja. Na waliokufa ni wale waliokuwa wagonjwa. Mungu tutie nguvu tunamalizika.