mkuu dawa za mchwa zipo mingi nenda kwa maduka za dawa za kilimo, vilevile kama uko karibu na sehemu ambazo wachina wanajenga wanakuwa na dawa mchina hiyo ni hatari ukiweka huji kuona chembe ya mchwa bt ni hatar km uko na watoto inabidi uhame hata cku 3