Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
jamani mchwa wamemaliza milango na madirisha yote ya nyumba yangu na sasa wamevamia kuta za nyumba kwa fujo. Naombeni msaada wenu kwa anayefahamu dawa ya kuangamiza mchwa au nini cha kufanya ili kuwaua na kuwaondoa kabisa mchwa hawa waharibifu?