faiza zuwer
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 400
- 169
[emoji27][emoji27][emoji27]
Hivi huwa vichwani mwenu mnawazaga nini, jibu gani hiliHutaki kujulikana kama wewe ni mnyaturu?
alovera- jumla ni elfu 11, rejareja ni elfu 13-16
ila mimi sio mfanya biashara, nenda duka la dawa[ sawa alovera nimeiona duka la dawa 16000 ipo kweny tube la kam cream za wa mama si ndio
Tumia [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]we majivu yanaumiza fizi
Hutaki kujulikana kama wewe ni mnyaturu?
Mimi nataka dawa ya ganzi ya meno
Hata nikila nanasi kipande au embe bichi ndani ya dak 2 ganzi tayari
Kanunue Colgate pro Relief Ni gali na Ni ya kweli. Based on experiencealovera- jumla ni elfu 11, rejareja ni elfu 13-16
ila mimi sio mfanya biashara, nenda duka la dawa