faiza zuwer
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 400
- 169
Jamani ni dawa gan ya meno nikitumia kwanza itaondoa ukungu ule mweusi unaokaa kweny meno kam vile ya mvuta sigara dawa zipo nyingi lakini nahitaji kujua dawa moja tu ntajie kwa jina ambayo nikisugulia meno yangu ukungu ule utatoweka dk wa meno msaada plz