Dawa ya meno ya kufanya yawe meupe na kung'arisha

Dawa ya meno ya kufanya yawe meupe na kung'arisha

Kuna miti flani hivi nikiwa primary niliku naona watu wanatumia magome yake yapo kama ya mdalasini wanasugua meno Tanaka meupeeeee ila inafanya lips kua kama nyekundu japo huo wekundu unaondoka baada ya muda.Ila ukitumia meno yanakua meupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti1,

Huo mti unaitwa mdaa niliuona lushoto huko milimani, mzuri sana kwa kung'arisha meno
 
Huo mti unaitwa mdaa niliuona lushoto huko milimani, mzuri sana kwa kung'arisha meno
Exactly kabisa hata nyumbani kwetu ipo mingi Sana sisi tunauita mdawa
Side effects yake ni muwashowasho kwenye mdoma wakati wa kuutumia
Nahisi sehemu zenye hali ya hewa baridi inapatikana pia
 
Exactly kabisa hata nyumbani kwetu ipo mingi Sana sisi tunauita mdawa
Side effects yake ni muwashowasho kwenye mdoma wakati wa kuutumia
Nahisi sehemu zenye hali ya hewa baridi inapatikana pia
mbeya ipo kwa wingi pia
 
Optfresh inauzwa 12000 kwa orflame mitaa ya morocco /bmoyo road karibu na voda ni dawa ya meno ukitumia Mara kuanzia wiki moja utakuwa umeshaona matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom