Ok Thanks. I'm a lady though [emoji4]No man it doesn't!
You can just google it and see reviews from other users.
Mkuu,kuosha meno hospitalini ni gharama gani? na hizo gharama kuna uwezekano wa kutumia bima ya afya?Natumia sensodyne(dawa ya meno) na Hydrogen peroxide 3%(mouth wash) na kuosha(hosp) mara moja kila mwaka
Huo mti unaitwa mdaa niliuona lushoto huko milimani, mzuri sana kwa kung'arisha meno
Exactly kabisa hata nyumbani kwetu ipo mingi Sana sisi tunauita mdawaHuo mti unaitwa mdaa niliuona lushoto huko milimani, mzuri sana kwa kung'arisha meno
Sijawahi kuona
mbeya ipo kwa wingi piaExactly kabisa hata nyumbani kwetu ipo mingi Sana sisi tunauita mdawa
Side effects yake ni muwashowasho kwenye mdoma wakati wa kuutumia
Nahisi sehemu zenye hali ya hewa baridi inapatikana pia
Nina jino moja limetoboka linanikosesha raha haliumi ila siwezi kutafuna kitu chochote kwenye upande husika
Sent using Jamii Forums mobile app