Jamani mwenye dawa ya meno anisaidie. Nina umri wa miaka 48 nimeshatoa meno manne na mengine yanauma. Naomba ambaye anajua dawa ya meno ya kuzuia meno yasishambuliwe na wadudu anisaidie kuniaelekeza inapopatikana. Aksante
Mkuu dawa pekee ni kutunza kinywa chako tuu hakuna dawa ambayo itakusaidia usitoe meno kama hukiweki kinywa chako katika hali ya usafi hakikisha unaswaki mara mbili kwa siku asubuhi na kabla ya kulala hapo unaweza zuia mashambulizi ya meno yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.