Dawa ya meno

Dawa ya meno

BADAF

Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
99
Reaction score
44
Jamani mwenye dawa ya meno anisaidie. Nina umri wa miaka 48 nimeshatoa meno manne na mengine yanauma. Naomba ambaye anajua dawa ya meno ya kuzuia meno yasishambuliwe na wadudu anisaidie kuniaelekeza inapopatikana. Aksante
 
Mkuu dawa pekee ni kutunza kinywa chako tuu hakuna dawa ambayo itakusaidia usitoe meno kama hukiweki kinywa chako katika hali ya usafi hakikisha unaswaki mara mbili kwa siku asubuhi na kabla ya kulala hapo unaweza zuia mashambulizi ya meno yako.
 
kuna dawa fulani za kimaasai zinazoua wadudu wapekechaji
 
Kuna dawa ya meno inaitwa 'luanga mbimbi' inasaidia sana kumaliza matatizo ya meno
 
Back
Top Bottom