pole sana mkuu.
utapata wataalamu soon
Asikudanganye MTU mfupa ukivunjika hata usipofanyiwa upasuaji utaunga tu wenyewe hata bila kutumia dawa yoyote. Tatizo ni namna gani utaunga ndio maana madaktari wanaufanyia alignment ili uunge vizuri. Wanaoenda kwa waganga wa kienyeji mifupa yao inaunga lakini look at the x Ray unavyounga vibaya mpaka mtu anajikataa. Mpaka sasa wewe ulitakiwa uwe unatembelea gongo moja kukupa support tu! Tena uwe unaenda kazini kabisa. It takes maximum of six weeks for a normal bone to unite at the fracture site. Kama mpaka sasa inaonesha hakuna dalili za kuunga basi kuna shida nyingine ikiwemo upungufu wa madini ya calcium. Otherwise pole kwa kupatwa na tatizo hilo.
Kweli kabisa. mifupa hujiunga haraka kuliko wengi wanavyodhani. Tatizo ambalo hujitokeza kama ilivyotajwa hapo juu ni alignment. Local doctors ni wazuri kwa kuponyesha haraka shida ni hiyo alignment tu. Utakuta kuna mafundo kwenye maungio. Calcium compounds are always the best for strengthening your bones.
nahisi utakuwa umechelewa kwani tiba ya asili inahitaji usizidi siku nne baada ya kuumia
Asikudanganye MTU mfupa ukivunjika hata usipofanyiwa upasuaji utaunga tu wenyewe hata bila kutumia dawa yoyote. Tatizo ni namna gani utaunga ndio maana madaktari wanaufanyia alignment ili uunge vizuri. Wanaoenda kwa waganga wa kienyeji mifupa yao inaunga lakini look at the x Ray unavyounga vibaya mpaka mtu anajikataa. Mpaka sasa wewe ulitakiwa uwe unatembelea gongo moja kukupa support tu! Tena uwe unaenda kazini kabisa. It takes maximum of six weeks for a normal bone to unite at the fracture site. Kama mpaka sasa inaonesha hakuna dalili za kuunga basi kuna shida nyingine ikiwemo upungufu wa madini ya calcium. Otherwise pole kwa kupatwa na tatizo hilo.
je nikienda hospital nikafanyiwa hiyo alignment nikafungwa na hogo then nikarudi kwa mtaalamu wa kienyeji kuna shida au itakuwa bora zaidiKweli kabisa. mifupa hujiunga haraka kuliko wengi wanavyodhani. Tatizo ambalo hujitokeza kama ilivyotajwa hapo juu ni alignment. Local doctors ni wazuri kwa kuponyesha haraka shida ni hiyo alignment tu. Utakuta kuna mafundo kwenye maungio. Calcium compounds are always the best for strengthening your bones.
je nikienda hospital nikafanyiwa hiyo alignment nikafungwa na hogo then nikarudi kwa mtaalamu wa kienyeji kuna shida au itakuwa bora zaidi
Asante sana kwa kunielezea kitaalam hii ishu. kwasasa ninatumia magongo na naendlea vema, I know itachukua miezi 6 bt I am just tired bro
Unatumia magongo mangapi? Walikuwekea plate au chuma ndani ya mfupa? Maana naona kama umechelewa sana unless uwe uliwekewa plate. Kuna mtu namfahamu amewekewa chuma ndani ya mfupa(nail) mwezi wa pili mwishoni sasa hivi anatembea kwa kutumia gongo moja tu!
daaaah pole sana ndugu
nina nail mguu wa kushoto katikati ya mfupa na plate kulia. kushoto unanguvu tu.