Dawa ya mifupa tafadhali

Dawa ya mifupa tafadhali

ba nso

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
668
Reaction score
225
Ndugu zanguni ninaomba anayefahamu kuhusu matibabu ya mifupa iliyovunjika asaidie hapa:

1. Je kuna dawa ya kuharakisha kujiunga kwa mifupa hasa ya kienyeji.

2. katika hali ya kawaida mifupa huunga baada ya muda gani hadi mtu kurudi kutembea? ( kama alivunjika mfupa wa paja). mwenye uzoefu tafadhali toa ushuuda hapa.

3. Binafsi ninatimiza miezi 4 tangu niganyiwe upasuaji baada ya kuvunjika mifupa ya mapaja na kuwekewa rods na nails .

I use crutches. How long will I be sitting back like this?
asante
 
Dawa ipo,ni dawa ya kienyeji kwa mda wa wikimbili(2)tu, mifupa itakuwa sawa na utanza shughuli zako, kama unaitaji nitafute 0759217720.
 
nahisi utakuwa umechelewa kwani tiba ya asili inahitaji usizidi siku nne baada ya kuumia
 
Asikudanganye MTU mfupa ukivunjika hata usipofanyiwa upasuaji utaunga tu wenyewe hata bila kutumia dawa yoyote.

Tatizo ni namna gani utaunga ndio maana madaktari wanaufanyia alignment ili uunge vizuri.

Wanaoenda kwa waganga wa kienyeji mifupa yao inaunga lakini look at the x Ray unavyounga vibaya mpaka mtu anajikataa.

Mpaka sasa wewe ulitakiwa uwe unatembelea gongo moja kukupa support tu! Tena uwe unaenda kazini kabisa. It takes maximum of six weeks for a normal bone to unite at the fracture site.

Kama mpaka sasa inaonesha hakuna dalili za kuunga basi kuna shida nyingine ikiwemo upungufu wa madini ya calcium. Otherwise pole kwa kupatwa na tatizo hilo.
 
Asikudanganye MTU mfupa ukivunjika hata usipofanyiwa upasuaji utaunga tu wenyewe hata bila kutumia dawa yoyote. Tatizo ni namna gani utaunga ndio maana madaktari wanaufanyia alignment ili uunge vizuri. Wanaoenda kwa waganga wa kienyeji mifupa yao inaunga lakini look at the x Ray unavyounga vibaya mpaka mtu anajikataa. Mpaka sasa wewe ulitakiwa uwe unatembelea gongo moja kukupa support tu! Tena uwe unaenda kazini kabisa. It takes maximum of six weeks for a normal bone to unite at the fracture site. Kama mpaka sasa inaonesha hakuna dalili za kuunga basi kuna shida nyingine ikiwemo upungufu wa madini ya calcium. Otherwise pole kwa kupatwa na tatizo hilo.

Kweli kabisa. mifupa hujiunga haraka kuliko wengi wanavyodhani. Tatizo ambalo hujitokeza kama ilivyotajwa hapo juu ni alignment.

Local doctors ni wazuri kwa kuponyesha haraka shida ni hiyo alignment tu. Utakuta kuna mafundo kwenye maungio. Calcium compounds are always the best for strengthening your bones.
 
Kweli kabisa. mifupa hujiunga haraka kuliko wengi wanavyodhani. Tatizo ambalo hujitokeza kama ilivyotajwa hapo juu ni alignment. Local doctors ni wazuri kwa kuponyesha haraka shida ni hiyo alignment tu. Utakuta kuna mafundo kwenye maungio. Calcium compounds are always the best for strengthening your bones.

Na vyakula ambavyo vina content ya kutosha ya madini ya calcium.
 
Asikudanganye MTU mfupa ukivunjika hata usipofanyiwa upasuaji utaunga tu wenyewe hata bila kutumia dawa yoyote. Tatizo ni namna gani utaunga ndio maana madaktari wanaufanyia alignment ili uunge vizuri. Wanaoenda kwa waganga wa kienyeji mifupa yao inaunga lakini look at the x Ray unavyounga vibaya mpaka mtu anajikataa. Mpaka sasa wewe ulitakiwa uwe unatembelea gongo moja kukupa support tu! Tena uwe unaenda kazini kabisa. It takes maximum of six weeks for a normal bone to unite at the fracture site. Kama mpaka sasa inaonesha hakuna dalili za kuunga basi kuna shida nyingine ikiwemo upungufu wa madini ya calcium. Otherwise pole kwa kupatwa na tatizo hilo.

Asante sana kwa kunielezea kitaalam hii ishu. kwasasa ninatumia magongo na naendlea vema, I know itachukua miezi 6 bt I am just tired bro
 
Kweli kabisa. mifupa hujiunga haraka kuliko wengi wanavyodhani. Tatizo ambalo hujitokeza kama ilivyotajwa hapo juu ni alignment. Local doctors ni wazuri kwa kuponyesha haraka shida ni hiyo alignment tu. Utakuta kuna mafundo kwenye maungio. Calcium compounds are always the best for strengthening your bones.
je nikienda hospital nikafanyiwa hiyo alignment nikafungwa na hogo then nikarudi kwa mtaalamu wa kienyeji kuna shida au itakuwa bora zaidi
 
je nikienda hospital nikafanyiwa hiyo alignment nikafungwa na hogo then nikarudi kwa mtaalamu wa kienyeji kuna shida au itakuwa bora zaidi

Utaenda kuliwa hela tu, kwani atakufanyia nini zaidi ya kukupa 'psychological drugs?'.

Ukishafungwa mhogo ndio complete treatment ya tatizo lako nao inategemea na sehemu ulipovunjika.
 
Asante sana kwa kunielezea kitaalam hii ishu. kwasasa ninatumia magongo na naendlea vema, I know itachukua miezi 6 bt I am just tired bro

Unatumia magongo mangapi? Walikuwekea plate au chuma ndani ya mfupa?

Maana naona kama umechelewa sana unless uwe uliwekewa plate. Kuna mtu namfahamu amewekewa chuma ndani ya mfupa(nail) mwezi wa pili mwishoni sasa hivi anatembea kwa kutumia gongo moja tu!
 
Unatumia magongo mangapi? Walikuwekea plate au chuma ndani ya mfupa? Maana naona kama umechelewa sana unless uwe uliwekewa plate. Kuna mtu namfahamu amewekewa chuma ndani ya mfupa(nail) mwezi wa pili mwishoni sasa hivi anatembea kwa kutumia gongo moja tu!

nina nail mguu wa kushoto katikati ya mfupa na plate kulia. kushoto unanguvu tu.
 
nina nail mguu wa kushoto katikati ya mfupa na plate kulia. kushoto unanguvu tu.

Aisee kama una plate ni ishu nyingine. Ukikosea tu kinavunjika. Pole sana ndugu yangu lakini utapona miezi sio mingi. Mungu akupe nguvu na uvumilivu.
 
Back
Top Bottom