Dawa ya migomo vyuo vikuu yapatikana.

Dawa ya migomo vyuo vikuu yapatikana.

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Nimesikia leo katika uchambuzi wa magazeti.. Jeshi linadai limepata dawa ya migomo, nayo ni kupita JKT kabla ya kuingia elimu ya juu. Maswali 1. Hivi hawa wamefanya utafiti na kugundua tatizo la msingi? 2. Hili suala haliwezi kuleta vurugu zaidi huko tuendako?
 
jkt sio suluhisho la migomo hata kidogo! Waangalie alternatives bt sio suala la jkt! It wont help for sure!
 
hivi tangu lini polisi wakafikria kutatua tatizo, wameshindwa kuzuia ajali barabarni mpaka zinatokea ajari mfululizo wiko nzima bila hata hatua moja kuchukuliwa. wakalale huko hawawezi kuwa suluhu ya matatizo ya vyuo. ****** alipoingia ndo ilikuwa moja ya ahadi zake wamuulize kashindwa nin
 
kweli tz tuna watu wa ajabu.kwani hao wanafunzi wanaandamana tu bila sababu?
 
Back
Top Bottom