Dada ulitaka umpe mtoto dawa ya minyoo baada ya kuzaliwa?? Au kwa muda gani baada ya kuzaliwa??!!
Kuna daktari mmoja aliwahi kuniambia si vizuri kumpa mtoto dawa ya minyoo katika umri kama huo. Yeye anaamini kwa umri huo mtoto yupo katika "Uangalizi" wa karibu wa mzazi/mlezi hivyo si rahisi kupata minyoo!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.