Dawa ya Minyoo kwa watu wazima, ipi bora?

Dawa ya Minyoo kwa watu wazima, ipi bora?

yamo

Member
Joined
Nov 5, 2018
Posts
9
Reaction score
16
Naombeni msaada wa kujua dawa ya minyoo, Nimeshatumia aina mbalimbali lakini naona Bado siijafanikiwa,

Mpaka sasa nikienda haja kubwa nahisi minyoo inataka kutoka lakini hawatoki wanarudi tena tumboni.

Naomba msaada wenu.
 
Dawa gani inaweza kuwa nzuri kwa minyoo kwa watu wazima ambayo inapatika kwenye pharmacy zetu za kawaida?
 
Back
Top Bottom