Dawa ya mtoto kutembea

Dawa ya mtoto kutembea

Yawezekana malezi yako ndo tatizo, mtoto mnamgeuza mdori wa kubeba kila wakati, mtoto mwekeni chini atambae, acheze mwenyewe alie, aanguke. ndo kukuwa kwenyewe huko . sasa kama mnambeba kila wakati kucheza kwakwe ni kulala kitandani akiamka mnabeba hawezi kujua kutembea. Mwishoe mtashika watu uchawi bure
 
Chukua Kwa Fundi Carpenter Unakuta Wameshatengeza
Hayo Sijui Baby Walker Ghari Sana
 
Duh mwaka na nusu muone mshana jr akupe tiba pia nenden kwenye maombi mkafunguliwe
 
Dalili za mtoto kutembea ni kutambaa , je mtoto wako anatambaa?
Anatambaaaje kwa Tumbo au anasota tu
Na ukimkuta mtoto wako ndani ya nusu saa ulipo muacha ndipo ulipo mkuta basi usitafute mchawi,
Tayari mmeshambemenda mtoto
Sisi huku uswahili tunakamsemo ketu.
 
Unataka atembee kwenda wapi? (Kidding)

BTW Mtoto wangu alichelewa sana kutembea, alianza kutembea akiwa na mwaka mmoja na miezi minne, ni wakiume, ila aliota meno mapema kuliko wenzake anaolingana nao walioanza kutembea wengine wakiwa na miezi 9 wengine mwaka
 
alianza kukaa na miezi mingapi
 
Back
Top Bottom