Hii hapa, tiba asili na ya haraka kuliko tiba yoyote kwa aliyeungua, utashangaa:
https://www.jamiiforums.com/matanga...na-zaidi-aunt-zainabs-natural-super-clay.html
Mtu anatafuta tiba ya haraka we unatuwekea matangazo ya biashara!
Msaada wa haraka please!!!Pole! Nenda hospitali usitafute tiba za nyumbani ambazo mara nyingi huleta comlications na vifo. Ufikapo hospitali wataalamu watajua kiasi alichoungua (degree of burn), na kutoa huduma stahili [dawa stahiki za kupaka/kumeza/kuchoma(im/iv) kwa ajili ya kuzuia secondary bacterial infections (local and systemic)].
Pole sana mkuu.Msaada wa haraka please!!!
Kabinti changu kameungua maji ya moto kapo hospital ya mkoa wa morogoro, dawa ipi naweza tumia
Ahsante sana, ahsante kwa ushauri piaPole sana mkuu.
Jirani yangu alipoungua alitumia kupaka asali mbichi
Japo siku ni nyingi lakini huu ni ukichaa! Wewe,unawatafutia wenzio matatizo! Ile spray uipake kwenye kidonda? Ile kumbuka ni ganzi tu,si kwamba inatibu hivo.Tafuta spray inaitwa deep heat itamsaidia na ngozi itakuwa normal