Chrix_Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 880
- 1,100
Habari wadau wa JF?!!!
Kumekua na tatizo linalosumbua watu wengi sana juu ya kukoroma aidha usiku au mchana hasa pale tu mtu anapolala.... na imekua kero sana kiukweli maana kuna wengine hukoroma mpk sio vizuri na wengi wameshindwa kujizuia kwahili... ebu tusaidiane hivi kuna dawa ya kuzuia hili wadau?!!!
__Cheusi_Dawa__[emoji276]