Dawa ya mwanamke anayependa kununa!

Asanteni wana jf ila suala la kubembeleza nimebembeleza mpaka mi mwenyewe nalia bado haelewi yaan kananitesa sana haka kabint kanavyonuna!
 
Dawa yake ni kumshindilia nao tu.
 

hahaha kweli hii dawa.
mzee hakutaka mabembelezano.
 
Asanteni wana jf ila suala la kubembeleza nimebembeleza mpaka mi mwenyewe nalia bado haelewi yaan kananitesa sana haka kabint kanavyonuna!


Hahahahhahahhaaaaaaaaa! Yaani mpaka unalia........ hii kali.
 
Dawa (cure)ya kununa ni negligence only....................nyingine ni analgesics

Yaani akinunua get to something involving.......huyo ni attention seeker. Kama vipi we safiri ukirudi utamkuta anacheka

Na umueleze kabisa, sababu ya kusafiri ni wewe, ngoja nikupishe unune nikirudi utakuwa mnuno umeisha, kama haujaisha nitaondoka tena mpaka mnuno uishe na ukirudia kununa ndo hivyo tena nitakuwa nasafiri mpaka mnuno uishe. Kununa nuna si vizuri bwana!!!!!!!!!!!!! Maisha yenyewe yakuwapi ya kununiana, Ila kuna saa inabidigi tu mtu unune hata mi sijui ni kwa nini uwa kuna saa wanawake wanajisikia kununa kwa wapenzi wao? Kama vile ambavyo kwa nini bwana JK hajui kwa nini watanzania ni masikini.
 
Huyo mbona yupo sawa tu. Wewe endelea na shughuli zako mpaka atakapokuwa tayari kuongea.
 
ukifika nawe no story shika mkono weka kitandan unamvua ngua mchengo unalala.
 
dawa ya mwanamke kama huyo ndogo sana, akinuna wewe dont bother wala usimbe,beleze nadhani atajifunza,thats big experience i can give you
 
Sawa wakubwa ila dawa mnayonipa ni ya ukwel,nmeanza kujaribu moja baada ya moja namuona haoni kama kununa ni dili,kama kuna ya ziada ili nmpige gol la faulu ya katkat ya uwanja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…