Dawa ya Mwanamke/mke Jeuri

Dawa ya Mwanamke/mke Jeuri

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
Ukiona mwanamke kaanza ukorofi na kupandisha kiburi na dharau, mpandishe HADHI au CHEO, Mfanye awe mke mkubwa!!![emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mimi ukiwa jeuri najua umepata anaezidi uwezo either kimapenzi or Kifedha Sihangaiki nawe hata kidogo naangalia yangu tu! Labda kama tuna watoto nitawajali watoto Wasijue nini? Kinaendelea ila usitegemee nitakusemesha hata uwe jeuri milele sisemi ng'o.
 
Dawa ya jeur nasikia ni kibur, sasa akileta jeur wewe kuwa kibur kumzidi Bashite tuone
 
Back
Top Bottom