N nsalu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 1,189 Reaction score 1,240 May 15, 2014 #1 Wadau kwa ambaye ameshatumia dawa inaitwa ngoka 11 je kweli ni nzuri inaponya presha?
GBBali JF-Expert Member Joined Sep 2, 2013 Posts 1,931 Reaction score 537 May 17, 2014 #2 Vilevile kulikuwa na ngetwa3. ilikuwa inasaidia upande wa maralia siku hizi siioni vp kuna mtu anahabari zake?
Vilevile kulikuwa na ngetwa3. ilikuwa inasaidia upande wa maralia siku hizi siioni vp kuna mtu anahabari zake?