Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Nguvu za kiume ni hela tu blazzaView attachment 3207920
DAWA YA NGUVU YA KIUME aka Viagra Ya Asili Tafadhali kama wewe ni chini ya Umri wa Miaka 20 kaa Mbali dawa hii.
Mwanume yeyote ambaye hutoa hudumu ya dakika 2 tu katika mashindano ya Kitandani na Mke baada ya kuchukua mchanganyiko huu usijali utaongezeka muda mpaka kufika dakika 30 Kumaliza kumwaga.
Pata vipande 5 vya kola chungu (Bitter Kola) na Tangawizi. Kata vipande vidogo na chemsha na maji.
Kunywa kikombe cha chai dakika 30 kabla ya mashindano.
Atakupiga marufuku ya Unahodha mke wako.
HahahahaHiyo ndio biashara yenyewe
Hilo ndio dhumuni la uzi.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hazungumzii kudinda anaongelea kwenda umbali mrefu..Yamaa wameiganda hio kola kisa tu hawawezi kudinda
Mboohaidindi au?Hazungumzii kudinda anaongelea kwenda umbali mrefu..
Oya tuuzie hyo kola chungu
Sasa unauliziaje mboo ya mwanaume mwenzio wewe ya kazi gani?Mboohaidindi au?
Naipataje hiyo cola mkuu ππNauza kola chungu nipo muheza tanga.
Nakutumia namba yangu pmNaipataje hiyo cola mkuu ππ
Nitashukuru mkuu najua nitapiga hela kwa wadau tu kama msambaza kolaNakutumia namba yangu pm
Mtu utotoni hajawahi kula mchanga, atakuwaje na nguvu za kiume?πView attachment 3207920
DAWA YA NGUVU YA KIUME aka Viagra Ya Asili Tafadhali kama wewe ni chini ya Umri wa Miaka 20 kaa Mbali dawa hii.
Mwanume yeyote ambaye hutoa hudumu ya dakika 2 tu katika mashindano ya Kitandani na Mke baada ya kuchukua mchanganyiko huu usijali utaongezeka muda mpaka kufika dakika 30 Kumaliza kumwaga.
Pata vipande 5 vya kola chungu (Bitter Kola) na Tangawizi. Kata vipande vidogo na chemsha na maji.
Kunywa kikombe cha chai dakika 30 kabla ya mashindano.
Atakupiga marufuku ya Unahodha mke wako.
Nahusikaje hapa