Dawa Ya Nguvu Ya Kiume Ya Asili Kwa Wale Wenzangu Kwenye Mashindano Ya Kitandani usiku wanaofunga Goli Mapema haya chukuweni dawa hiyo Nimetoa Bure

View attachment 3207920
DAWA YA NGUVU YA KIUME aka Viagra Ya Asili Tafadhali kama wewe ni chini ya Umri wa Miaka 20 kaa Mbali dawa hii.
Mwanume yeyote ambaye hutoa hudumu ya dakika 2 tu katika mashindano ya Kitandani na Mke baada ya kuchukua mchanganyiko huu usijali utaongezeka muda mpaka kufika dakika 30 Kumaliza kumwaga.
Pata vipande 5 vya kola chungu (Bitter Kola) na Tangawizi. Kata vipande vidogo na chemsha na maji.
Kunywa kikombe cha chai dakika 30 kabla ya mashindano.
Atakupiga marufuku ya Unahodha mke wako.
Nguvu za kiume ni hela tu blazza
Cc ephen_
 
Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kuua watu duniani, ila sioni mkileta dawa humu kila siku mmekomaa na nguvu za kiume ambazo hazijawahi kuua hata mtu mmoja!
 
View attachment 3207920
DAWA YA NGUVU YA KIUME aka Viagra Ya Asili Tafadhali kama wewe ni chini ya Umri wa Miaka 20 kaa Mbali dawa hii.

Mwanume yeyote ambaye hutoa hudumu ya dakika 2 tu katika mashindano ya Kitandani na Mke baada ya kuchukua mchanganyiko huu usijali utaongezeka muda mpaka kufika dakika 30 Kumaliza kumwaga.

Pata vipande 5 vya kola chungu (Bitter Kola) na Tangawizi. Kata vipande vidogo na chemsha na maji.

Kunywa kikombe cha chai dakika 30 kabla ya mashindano.

Atakupiga marufuku ya Unahodha mke wako.
Mtu utotoni hajawahi kula mchanga, atakuwaje na nguvu za kiume?😃
 
Back
Top Bottom