Kila la heri wanaume
Usisahau na wewe ni beneficiary wa huu ugunduzi.....!
Kila la heri wanaume
Hamtakufa ila cha moto mtakiona.Sasa sijui hizi simu siwekwe wapi maana tutakufa aisee
Unajua watu wengi hawaelewi kuwahi kufika kileleni sio tatzio la nguvu za kiume, bali tu ni uwezo wa kushindwa kuhimili mikiki ya michezo na hi inatokana na hisia za karibu, sasa kama utashindwa kuenda roundi nyengine baada ya moja hapo ndio tutasema una tatizo hilo
Chukua punje Kama tano za kitunguu swaumu,chukua karanga mbichi ujazo wa kiganja kimoja,Twanga kisha chuja upate Juice yake Kunywa,
Ukimaliza tafuna kipande cha Muhogo ,baada ya hapo kula na muwa kidogo, then kafanye mambo yako Jibu ulete hapa hapa javini,
Nb malipo ya tiba nilio kupa hapa ni ww kuleta mrejesho Jamvini hapa.
Thanks Bro
Usijari
Thanks Bro
Unajua watu wengi hawaelewi kuwahi kufika kileleni sio tatzio la nguvu za kiume, bali tu ni uwezo wa kushindwa kuhimili mikiki ya michezo na hi inatokana na hisia za karibu, sasa kama utashindwa kuenda roundi nyengine baada ya moja hapo ndio tutasema una tatizo hilo
Amini tu mambo ya humu uje ushangae hata hako kamoja huwezi tena kukapiga....
fanya mazoezi ya viungo...
usiache kuwa mtu wa mazoezi...
fanya mazoezi ya viungo...
usiache kuwa mtu wa mazoezi...