Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Ni rafiki yako huyo anaekuuliza? Haya mwambie ajaribu kwanza halafu ndio atajua kama anaweza au hawezi, au kama Amesha zowea hiyo sijui mnaitaje naona Aibu kuitaja 🙈 mwambie amwachie Mdada aone atakavyo skitika nayo kama koni ya Bakhressa...
 
Zinaa haifai kamilisha taratibu zakisheria ili nikupe jawabu ya tatizo lako, sipendi kuwaa msaidia zinaa
 
Sasa kutuandikia gazeti zima la shigongo Brio mini?
 
Bora upungukiwe pesa utaomba au utatafuta au kukopa bank lakini nguvu za kiume mimi nilizonazo tu zenyewe hazinitoshi...


Via nimeidesa somewhere...
 
Ngoja vijana wenzako wa kiume waje kukushauri, sisi wanaume tupo chumbani sasa tunacheza hide n seek...
 
pole sana ndugu.acha nyeto na ufanye mazoezi ya viungo zitarudi tuu!!!
 
Ebu fupisha kwanza stori yako, la sivyo hautapata wachangiaji wa kutosha.
 
141018202937_men_sperm_underpant_640x360__nocredit.jpg
Nguo hizi za ndani zinasemekana kuwa na uwezo wa kulinda wanaume kutokana na madini hatari yanayoathiri nguvu za kiume

Kampuni ya Belly Armor, ambayo ilikua ya kwanza kutengeza bidhaa zinazohitajika na wanawake wajawazito, kutokana na kitambaa maalum kinacholinda mwili kutokana na athari za madini ya chuma mwilini, imeanzisha biasharta nyingioenkwa manufaa ya wanaume.

Kampuni hii imeanza kutengeza nguo za ndani za wanaume ambao zinawalinda kutokana na athari ya madini ya chuma yanayoweza kupunguza nguvu za kiume na kuathiri uzalishaji wa mbegu za kiume hali ambayo inaweza kusababisha mwanaume kukosa kuzalisha.

Unaweza kujiuliza je biashara ya kutengeza vitambaa hivyo inanawiri? Jibu? Ndio tena sana.


141030055939_sperm_624x351_spl.jpg
Mbegu za wanaume zinaweza kuthiriwa na madini yanayotumiwa kutengeza simu za mkononi

Mnamo mwaka 2011, shirika la afya duniani lilitaja madini hayo hatari ikiwemo miale inayotokana na simu za mkononi kama yenye uwezo wa kusababisha saratani ya ubongo mbali na athari nyinginezo hatari kwa mwili kiafya.

Kwa mfano, watumjai wa Iphone, je mlijua kama mnapaswa kuzibeba simu zenu umbali wa milimita 10 kutoka kwa mwili wako kuhakikisha kuwa madini hayo hayaathiri mwili?

Licha ya kwamba utafiti mpya unahitajika kuthibitisha hili....ni wazi kwamba madini fulani yanayotumika kutengeza simu yanaweza kusababisha aina ya saratani za mwilini.

Na ndio maana kampuni ya Belly Armor ikaja na wazo la kuwatengezea wanaume nguo za ndani zinazoweza kuwakinga kutokana na athari hizo.

Pia utafiti ambao umefanywa unaonyesha kua baadhi ya miale inayotokana na vifaa kama vile simu za mkononi, Tabiti au Ipad, inaweza kusababisha mwili wa wanaume kupungukiwa na nguvu za kutengeza mbegu za kime au hata mwili kuishiwa na nguvu za kiume.


Source:http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/12/141212_belly_armor_brief
 
mmh tunakoelekea huko wote tutavaa vilinda sasa wanawake kwa wanaume.
 
Back
Top Bottom