Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Naomba msaada please wa njia asilia wa kupunguza/kutatua tatizo la nguvu za kiume hasa kuwahi kufika. Ahsante

saga vitunguu swaumu changanya na juice ya limao kunywa mchanganyiko wako vijiko viwili vya chakula.Saga kunywa hiyo hali itaisha.ni pm
 
ni pm mkuu nikulekeze cha kufanya uweze kupiga hadi goli sita hiko kitu nikikuelekeza leo kesho kutwa tatizo limeisha kabisa gharama ya maelezo hayo ni tsh elfu 5 tu


mkuu nipo elimu, book 5 sio issue usijali
 
Hivi ni kweli wanawake kuacha mapaja yao wazi na baadhi ya sehemu zao hupunguza nguvu za kiume?

Nawasilisha
 
Mmeona kuzisingizia chips haitoshi mmeamua kutusingizia na sisi....
 
Unaweza kunielezea mkuru utafiti coz Jana hapa chuoni kwetu tulibishana sana kuhusu mambo ya emotional and physical ambazo zina-cause some dysfunction. Na hatukufikia muafaka

Jiulize kwanini ma-modo wengi ni ma-gay? Au wanaume wanaofanya kazi salon za kike wanakuaje?? Utapata jibu.
 
Kizazi hiki hakiishi visingizio.
Kwan suala la mapaja kuwa nje limeanza leo? Mbona tangu enzi?
Babu zetu walikuwa wanafunga magome ya miti wanaziba pummbu tu na bibi zetu waliziba maku tu sasa kwann hawakupungukiwa nguvu za kiume?

Tatizo hamfanyi mazoezi,mnakula bagger, michips bloila, mivyakula ya kizungu yenye kemiko ndio vyakula vyenu...
Mnaangalia ex mnapiga mipunyeto mnadhan mtakuwa na nguvu kweli.
 

Pia kuna wanawake wana shida hiyo vp kuhusu kuwasaidia na wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…