Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!


kuwahi kufika kileleni au kwa kitaalamu premature ejaculation Ni ukosefu WA nguvu za kiume pia
 
Hukusema ni vitunguu na asali kiasi gani pia dozi mara ngapi kwa siku na kwa muda gani
 

Hivyo, napita tu
 
Science uliyo soma wewe ni ipi sasa? umefanya innovation gani hapa nchini! acha dharau, akili ya mnywa gongo hiyo mkuu!


cjui alitaka watu wote wasome science ili nchi iendeshweje.
watu wengine kujitapa tu na masomo ambayo hayajamkomboa bado analia meeeee ya umasikini looooh
 
Kijiko kimoja cha asali + kijiko kimoja cha siagi + kijiko kimoja cha juisi ya kitunguu maji kwa siku mara mbili! wiki moja tu mkuu umepona!!!!!!!!!!!!!!
Siagi ipi sasa,ya asili au hizi za madukani??
 
Siagi ipi? inajulikana kuwa siagi ni mafuta kama tanbond ya kupaka mikate, karanga paste, mgando wa mafuta ya ng'ombe n.k. Sasa wewe unamaanisha ipi?
 
Ngoja Nijitibu nitaleta mrejesho
 
Ndugu inafaa kinamama hii au madume pekee

IRON LADY!!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…