Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Mpaka uwe mwanaume.
Sijakusoma mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka uwe mwanaume.
Kwani wanawake wanatoa manii?.Nijaribu nini sasa nimeshasema karanga nimekula sana but sijawahi kuona badiliko
UUme kusimama kuna uhusiano na damu kwa 99%,lakini kuna uhusiano kati ya begu za kiume na karanga kama Eli alivyosema hapo juu
Ili uume usimame unahitaji damu ya kutosha kuingia kwenye mishipa,mtu anapokuwa anafanya mazoezi ya kutosha,kunywa maji ya kutosha pamoja na kula ndizi mbivu za kutosha zinasaidia kuongeza nguvu za kiume kwa 60%
Mazoezi yanaifanya damu kuwa neyesi hivyo kupenya kwenye mishipa kwa urahisi zaidi,maji nayo ni hivyo hivyo,ndizi zina saidia kuimarisha misuli ya mwili ikiwemo mishipa ya uume,hivyo unaweza kuona vile ambavyop inahusika hapo
Kwa uchache ni hayo .....!!
Kwani wanawake wanatoa manii?.
lengo la kula ni kuongeza manii ili yawe mengi na hivyo aweze kumaliza ama kupiz mara nyingi.
kwa wewe labda unywe amarula,au wine.
Asante 'paroko'
Ninavyojua , karanga pamoja na vyakula vya jamii yake..cashwenuts, groundnuts..yaani zile nuts zote...maharagwe, mayai, nyanya na matunda jamii ya machungwa vina vitamini E, madini ya Zinc, na aina flani ya acids ambazo zinaongeza *sperm count* kwa mwanaume.
Mbegu zikizalishwa kwa wingi, matokeo yake hata hamu ya kufanya ngono inaongezeka. Kwa hiyo ile dhana vijana wengi waliyonayo kuwa *leo nina gemu* na wanatafuna raw nuts, inasaidia japo hata vitu vingine vinaongeza pia. Mwili wa mwanaume ukikosa madini ya zinc ni hatari kwa afya ya mbegu za kiume....
Exactly!
Hapo kwenye sperm count na mi ndo najua hivyo....
Umejuaje kuwa ndo hivyo? Ulisoma mahala? Una source ya kisayansi inayosema hivyo?
Daah mbona sasa ni nadra sana kumuona mwanaume anatafuna mchele
Hahahaa haaaa
Yaaani leo umenichekesha
Umejuaje kuwa ndo hivyo? Ulisoma mahala? Una source ya kisayansi inayosema hivyo?
uwongo huo karanga zina mafuta mengi!Unajua karanga zina protini nyingi zinaenda kuzalisha manii mengi kwa muda mfupi ili upate hamu ya kumwaga shahawa hizo unatakiwa msukumo wa damu uwe mkubwa ukinywa Konyagi na Zanzi au ukanywa Grants' au pombe kali yoyote unapata hamu ya kumega na ukipanda kifuani au ukapiga mbuzi kakataa kusogea au kikambare ni balaa kutokana na msukumo wa damu dushelele linabaki limesimama
Unajua karanga zina protini nyingi zinaenda kuzalisha manii mengi kwa muda mfupi ili upate hamu ya kumwaga shahawa hizo unatakiwa msukumo wa damu uwe mkubwa ukinywa Konyagi na Zanzi au ukanywa Grants' au pombe kali yoyote unapata hamu ya kumega na ukipanda kifuani au ukapiga mbuzi kakataa kusogea au kikambare ni balaa kutokana na msukumo wa damu dushelele linabaki limesimama
Zinaongeza vyote nguvu za kiume na wingi wa shahawa kwa mwanaume...
Kwa mwanamke huongeza hamu ya kufanya mapenzi...kwa kawaida karanga hutengenezwa na mafuta (monounsaturated fats) na fats hizi huongeza kiwango cha vichocheo vya dopamine...hivyo ongezeko la dopamine husababisha ongezeko la hamu ya kudinyana kwa mwanamke...