Dawa ya Osmolax

Dawa ya Osmolax

Nfumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
610
Reaction score
698
wakuu nahitaji kujua dawa ya osmolax inauzwa bei gani coz niko mbali na mji na kuna mtu nahitaji kumtuma ili aweze kuniletea kesho.
 
sh
wakuu nahitaji kujua dawa ya osmolax inauzwa bei gani coz niko mbali na mji na kuna mtu nahitaji kumtuma ili aweze kuniletea kesho.
hyo inauzwa sh.7000/= inatumika kwa watu walionamatatizo ya kukosa choo
 
Back
Top Bottom