japhetjason
New Member
- Dec 15, 2014
- 2
- 0
Habari zenu wapendwa,,tafafhali naomba kujua tiba ya pimples usoni maana uso wangu una mafuta halafu una pimples ambazo ukizikamua zinatoka mafuta.....Kama kuna mtu anaejua tiba yake anifahamishe tafadhali...ahsanteni.
Tafuta Mate Ya KIFARU Tena Mvizie Akiwa Anakula Chakula Kisha Jipake Na Tatizo Lako Litakuwa Kwishnei Milele. Tena Awe Ni KIFARU Jike.
dah! si ni kifo hicho moja kwa moja