Je ni sahihi kufanya mapenzi sana kunasaidia kupunguza hatari ya kupata prostrate cancer kwa wanaume. Kwa kweli hii ikithibitika wanawake watapata raha sana.......................................
Suala sio utafiti umetokea wapi au umefanywa na nani. Yapo mambo mengi tu ya kitafiti yaliyofanywa na waafrika na baadaye tafiti hizo zimeleta tija kwenye nyanja mbali mbali na kusaidia maendeleo ya kukua kwa sayansi na teknolojia. Hivyo sioni mantiki ya kubeza utafiti toka Zimbabwe.