Dawa ya Prostrate Cancer kwa Wanaume

Dawa ya Prostrate Cancer kwa Wanaume

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,041
Reaction score
1,457
1538038857772.png

Je ni sahihi kufanya mapenzi sana kunasaidia kupunguza hatari ya kupata prostrate cancer kwa wanaume. Kwa kweli hii ikithibitika wanawake watapata raha sana.......................................
 
Siku hizi zimbabwe imepata wana sayansi wa kufanya tofauti ambazo hata wazungu wameshindwa? Duh
 
Huu utafiti umepitiwa na jopo gani la wataalam ili kuuthibitisha. Kama bado nasihi tuendelee kusubiri kuliko kuanza utekelezaji
 
Siku hizi zimbabwe imepata wana sayansi wa kufanya tofauti ambazo hata wazungu wameshindwa? Duh

Suala sio utafiti umetokea wapi au umefanywa na nani. Yapo mambo mengi tu ya kitafiti yaliyofanywa na waafrika na baadaye tafiti hizo zimeleta tija kwenye nyanja mbali mbali na kusaidia maendeleo ya kukua kwa sayansi na teknolojia. Hivyo sioni mantiki ya kubeza utafiti toka Zimbabwe.
 
Mkuu dawa ya prostate cancer ni kufanya mapenzi walau mara moja kwa siku ili kupunguza kiasi cha shahawa zambazo zikizidi hupelekea ugonjwa wa kansa.
 
Tatizo hii dawa sijui itawafikiaje mapadre na masista....au labda watafanyana dawa wao kwa wao!!!!!
 
Back
Top Bottom