Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Asante sana mkuu .Dawa ya salbutamol ipo Kwenye kundi la dawa ziitwazo Beta Agonist.. Kazi kubwa ni kulegeza misuli milaini... "Smoot muscle"
Ndo maana hutumika sana kutibu asthma ambapo misuli hiyo huwa imekaza.
ukiwa michezoni misuli milaini pia inayozunguka njia ya hewa kuelekea kwenye mapafu inaweza kukaza kitaalamu inaitwa "bronchospasm" kwa hiyo salbutamol hapo itakuwa imetumika kumsaidia muhusika kulegeza.. Ni sahihi kumtia hatiani kama itathibitika hana asthma.
Yeap yeapDawa ya salbutamol ipo Kwenye kundi la dawa ziitwazo Beta Agonist.. Kazi kubwa ni kulegeza misuli milaini... "Smoot muscle"