Dawa ya Salbutamol inawezaje kumsaidia mwanamichezo ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Cris Froome bingwa wa mbio za baiskeli wa dunia kutoka TEAM SKY , anakabiliwa na tuhuma za kuzidisha kiasi cha dawa ya pumu ya salbutamol anayoitumia kutokana na ugonjwa wa pumu unaomsumbua.

Hivi sasa yuko kwenye utetezi mzito ili kuokoa mataji yake ya dunia aliyoyapata .

Sasa ninaomba madaktari , wafamasia na wataalam wengine wa Tiba waje watusaidie kuhusu jambo hili la matumizi ya salbutamol na uhusiano wake katika kushinda mashindano yoyote .

Natanguliza shukrani .
 
Dawa ya salbutamol ipo Kwenye kundi la dawa ziitwazo Beta Agonist.. Kazi kubwa ni kulegeza misuli milaini... "Smoot muscle"
Ndo maana hutumika sana kutibu asthma ambapo misuli hiyo huwa imekaza.

ukiwa michezoni misuli milaini pia inayozunguka njia ya hewa kuelekea kwenye mapafu inaweza kukaza kitaalamu inaitwa "bronchospasm" kwa hiyo salbutamol hapo itakuwa imetumika kumsaidia muhusika kulegeza.. Ni sahihi kumtia hatiani kama itathibitika hana asthma.
 
Asante sana mkuu .
 
Yeap yeap
Kwa maneno mepesi inamfanya awe na mapafu ya farasi kwa njia haramu
 
Back
Top Bottom