Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Forever ndo nini mayooMhh hakuna kitu ni biashara tuu kama zilivyokua forever
Zile dawa sijui tiba lishe..zile walikua wanauza kama networking market...watu walitajirika sana japo watu hawakuponaForever ndo nini mayoo
Mhh hakuna kitu ni biashara tuu kama zilivyokua forever
mmh mbona hilo kopo la dawa limeandikwa FOR VETERNARY USE ONLY..hizo dawa ni kwa matumizi ya binadamu kweli? au mm ndio sijaelewa maana ya Veternary.!