Dawa ya stress

Dawa ya stress

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,667
Habari wana jf, mimi ni kijana umri kati ya 22-28, sijaoa ila nina mchumba, nina kazi ambayo inanifanya nakua busy kila siku. kuna hili tatizo sijui nini kimenitokea ila najiona nina-stress sana, muda mwingi najiona sina amani na kwakweli sijui nini, naomba kujua kama huu ni ugonjwa au ni nini? najaribu kuwa karibu na marafiki, kazi, mchumba na muda mwingi nakua jf tena napendelea jukwaa la 'jokes' ili niwe normal..msaada plz..
 
Dawa ya kutibu Stress Jaribu hizi njia huenda hiyo Stress yako ikaondoka.

1. Jaribu kuwa kimya nyumbani au chumbani,

2. Koga maji ya umoto moto au vuguvugu kadri upendavyo au kama una mke/mume mwambie akukande kande na maji mgongoni.

3.Ukimaliza oga jifute mwili kisha paka lotion ya lavender au aroma therapy lotion au aveeno lotion.

4. Panda kitandani lala panda kitandani ulale huku umejifunika shuka soft au blanket soft au comforter safi.

5. Ungelikuwa umeowa ningelikuambia ufanye tendo la ndoa kila wiki japo mara 3 kwa siku Stress inaondoka haraka.

6. soma duaa yako ya kulali geuka mkono wa kulia vuta pumzi ndani nje mara tatu huku ukifikiria neema za Mungu

wako na mambo mazuri yaliokutokea kisha lala.
Utaamka stress au mawazo yote yameondoka guarantee.

Zingatia haya yote yanafanyika baada ya swala zako na Maombi yako Kwa Mungu. Jaribu kisha uje unipe feedback.
 
Habari wana jf, mimi ni kijana umri kati ya 22-28, sijaoa ila nina mchumba, nina kazi ambayo inanifanya nakua busy kila siku. kuna hili tatizo sijui nini kimenitokea ila najiona nina-stress sana, muda mwingi najiona sina amani na kwakweli sijui nini, naomba kujua kama huu ni ugonjwa au ni nini? najaribu kuwa karibu na marafiki, kazi, mchumba na muda mwingi nakua jf tena napendelea jukwaa la 'jokes' ili niwe normal..msaada plz..
Kweli una stress hata umri wako hujui? Fanya ibada na mazoezi kwa wingi itakusaidia.
 
Back
Top Bottom