Wakuu natoa dawa ya sukari bure kabisa.Unachotakiwa kufanya ni kunipigia simu na kunielekeza mahali ulipo na dawa utaipataje then unatuma nauli nakutumia dawa.Kwenye suala la nauli madereva huwa wanataka keshi hapohapo ndo wabebe bahasha ya dawa.Angalizo mimi sio mganga wakienyeji so ukitaka kunipigia cm nipigie kuanzia saa kumi na mbili jioni mida hiyo huwa nimeshamaliza shughuli zangu au jumamosi na jumapili niko free.Kwa walioko Moshi tunaweza kuonana.Piga cm 0788993076.
Mkuu sina utani na afya za watu,natoa hiyo dawa ya miti bure kabisa na ndani siku tatu tu utashaangaa.Kumbuka kuwa sifanyi biashara na wala sio mganga wa kienyeji.kwa mateso ya watanzania wenzangu ambao wamekata tamaa na huu ugonjwa basi kuna tumaini jipya ni hiyo dawa na nina aamini watakuwa mashaidi kwa akina tomaso wasio amini.Au nimetibua dili zako mkuu ulikuwa unapiga pesa kupitia huu ugonjwa?usiombe ukaumwa.TFDA wanataarifa nayo? TBS vipi wanaijua? Inaitwaje jina la kitaalamu? Inalo jina la biashara, -trade name? Just being curious. Ebola inaenezwa kwa njia nyingi sana, unajua.
Hahahaaa! Sina dili hilo ndugu yangu....I'm just being curious! Si wajua tene vya bure gharama. Kuna mtu /rafiki yangu anasumbuka sana na hii kitu. Yupo Dar, nitamwambia akucheki. Thanks for other benefit!Mkuu sina utani na afya za watu,natoa hiyo dawa ya miti bure kabisa na ndani siku tatu tu utashaangaa.Kumbuka kuwa sifanyi biashara na wala sio mganga wa kienyeji.kwa mateso ya watanzania wenzangu ambao wamekata tamaa na huu ugonjwa basi kuna tumaini jipya ni hiyo dawa na nina aamini watakuwa mashaidi kwa akina tomaso wasio amini.Au nimetibua dili zako mkuu ulikuwa unapiga pesa kupitia huu ugonjwa?usiombe ukaumwa.