Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,551
- 4,454
Wakuu natoa dawa ya sukari bure kabisa.Unachotakiwa kufanya ni kunipigia simu na kunielekeza mahali ulipo na dawa utaipataje then unatuma nauli nakutumia dawa.Kwenye suala la nauli madereva huwa wanataka keshi hapohapo ndo wabebe bahasha ya dawa.Angalizo mimi sio mganga wakienyeji so ukitaka kunipigia cm nipigie kuanzia saa kumi na mbili jioni mida hiyo huwa nimeshamaliza shughuli zangu au jumamosi na jumapili niko free.Kwa walioko Moshi tunaweza kuonana.Piga cm 0788993076.