Dawa ya tatizo la kutoka Jasho miguuni unyayoni na viganja vya mikononi

blackgal94

Member
Joined
Jul 13, 2016
Posts
37
Reaction score
15
Wapendwa naombeni kuuliza ivi kwa Kuna tiba ya watu wenye tatizo la kutoka Jasho miguuni unyayoni na viganja vya mikononi anisaidie pliz...
 
hayo ni maumbile hayabadiliki.wanachofanya ni kupunguza tuu
 
Wapendwa naombeni kuuliza ivi kwa Kuna tiba ya watu wenye tatizo la kutoka Jasho miguuni unyayoni na viganja vya mikononi anisaidie pliz...
kwanza ni dalili kuu kuwa una matatizo ya moyo,kacheki kwa specialists mkuu!
 
hamna ugonjwa wala nini hayo maumbile tuu. mimi tangu mtoto till now jasho miguuni mikononi lakutosha naniko 30+yrs siumwi chochote
 
Mim huwa inanitokea kioind cha barid...yaan nyayoni utakuta inalowa kabisaa...na kama nimevaa vindala basi inajaa michanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…